Yajayo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Juni 11, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast: - Wanaharakati wa Kenya wakiongozwa na Martha Karua na jaji mkuu wa zamani Willy Mutunga waiishitaki serikali ya Tanzania katika mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki. . Waandamanaji wakiuka amri ya kutoka nje usiku kule Los Angeles Marekani na kulazimisha polisi kuanzisha kamatakamata. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, 😍 bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.

Yajayo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Juni 11, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast:
– Wanaharakati wa Kenya wakiongozwa na Martha Karua na jaji mkuu wa zamani Willy Mutunga waiishitaki serikali ya Tanzania katika mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki.
. Waandamanaji wakiuka amri ya kutoka nje usiku kule Los Angeles Marekani na kulazimisha polisi kuanzisha kamatakamata.

#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast

Ukitaka kupata habari zetu kila siku, 😍 bonyeza ‘subscribe’ kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.